Nawezaje kuona ”Downloads documents“ kwenye Android??

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,945
Wanajamvi,ninaomba msaada wa jinsi ya kujua namna na wapi ninapoweza kuona nyaraka nilizozipakua ktk mtandao ndani ya simu yangu,nina simu Android,lkn kila ninapopakuwa nyaraka,nikizisoma basi sizioni tena mara baada ya kusoma,hata pale ninapoziitaji baadae ni lazma nitafute na kupakua tena...Je ktk hizi simu za Android,nyaraka pakuliwa hubaki wapi???
 
nenda menu tafuta appliction imandikw download au kuwa kama unapangusa kioo cha simu kwa dole gumba(toka juu kwenda chini)
 
inategemea na browser na simu unayotumia.

kwa opera usually zinakaa folder la downloads labda kama ulichange ndo folder litabadilika.

kwa ucweb vinakaa folder la ucdownloads.

kwa native browser ya android zinakaa kwenye folder husika. kwa case yako inamaana ni folder la documents.

cha kufanya ingia kwenye file manager, inaweza kua pia imeandikwa my files tafuta folder limeandikwa documents ziangalie humo.
 
Hakika chief Mkwawa u wa msaada,vipi ni wa kulekule Kalenga??natumia Opera,na njia ulizonipa nimefanikiwa,nimekuwa nahanhaika sana....Be blessed!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…