Nawezaje kununua betri orginal

Nawezaje kununua betri orginal

battery og hua inakuja na simu, nyingine jiandae kupigwa
 
Kama ulivyojibiwa hapo juu
1. Uagizie online kwenye store husika za simu.
2. Kama kampuni ipo nchini uende ofisi ama mawakala wao ukanunue.

Madukani karibia asilimia zote sio original.
 
Kama ulivyojibiwa hapo juu
1. Uagizie online kwenye store husika za simu.
2. Kama kampuni ipo nchini uende ofisi ama mawakala wao ukanunue.

Madukani karibia asilimia zote sio original.
Mfano, Battery OG ya Samsung niipate sehemu gani hapa bongo. Maana battery ishanichosha
 
Mfano, Battery OG ya Samsung niipate sehemu gani hapa bongo. Maana battery ishanichosha
Kwa mawakala wao, mfano mmoja yupo Gerezani kkoo anaangalizana na mwendokasi. Naa hii pia sio 100% uhakika hasa simu ikiwa ni ya zamani.
 
Camera naiuza njoo na 800k ni mpya kabisa njoo inbox tuongee haina tatizo lolote ni mpya kabisa imetumika miezi mitatu tu bland Nikon D3500 pia Nina copy machine HP coloured nayo ni mpya ina miezi mitatu tu lisit zipo INA warranty zake bado hazijaisha bidhaa in good conditions wala haina tatizo lolote njoo inbox tuongee maongezi na kupunguziana kupo



[emoji724] *DALALI HAHITAJIKI FOR SERIUS BUYER ONLY*


Au WhatsApp me 0656958801
 
Back
Top Bottom