Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,720
- 3,456
Ndo umsaidieSasa kaniambia kile kinasibu, hana pesa na ashazunguka kutafuta kazi lakini bado ni bila bila.
Mimi pia nina shida ila nahisi huruma
Ndo umsaidieSasa kaniambia kile kinasibu, hana pesa na ashazunguka kutafuta kazi lakini bado ni bila bila.
Mimi pia nina shida ila nahisi huruma
Nimekosea kuandika mkuuSorry kwa kuingilia ila "How told I hate men"
Thats not what its supposed to sound ryt???
Zidisha ukaribu nae (usimtongoze)Sawa, then nitumie njia gani ili nijue shida inayomkabili?
Mkuu usipomjibu pia huyo mdau pale juu tunasema pia "umemkomesha"Nimekosea kuandika mkuu
Asante kwa kusahihisha
Jibu simple and clear... Msaidie kashopping kwanza ndio muendelee kutafuta kaziAtimae nimemuuliza,nimeufanyia kazi ushauri wenu.
Sawa mkuu nimekuelewaMkuu usipomjibu pia huyo mdau pale juu tunasema pia "umemkomesha"
Usichoshe watu ... English Ni second language kikubwa wameelewana"WHY, ARE YOU ALWAYS LOOK DIRTY AND HELPLESSNESS"
From the last time i Checked, that was not English, maybe times have changed
Wewe ni mpumbavu, kubaliana na huo ukweli kwanza ndiyo uandike kingine na swala la kiingereza Umeliingiza wewe si mimi.Ana mihemko huyo nimesema ukweli nashangaa anaanza na kingereza chake lesbian nyingiiii
Somehow life is fuvking someone out there😆
Nimekuelewa inawezekana huzungumzii wehu tunaowajua ila mtu ambaye ameends shule kabisa lakini kuna mambo hayamwendei sawaMbona simple Chief.
ARVs zikikukubali unanenepa balaaHana asili ya msumbiji, ni mwenyeji wa hapa hapa Ngwea na hizo picha sijui ni za kipindi gani, mimi alinitumia tu wakati ninahoji utambulisho wake.
Ikiwa ni ugumu wa maisha why anenepe vile?. Uliwai kutana na mtu anae nenepa wakati wa magumu?
mbona hajakutusi mkuu matusi yote ya nini mbona unataka utupe tabu ya kukufunga kamba kama dume tukupeleke mirembe.This your chronic lesbianism has really damaged your brain cells.
Your hatred for men is nauseating. Were you raped by your father during childhood? If yes, you need therapy ASAP.
Hivi ni kwanini guys wengi Jf uwa mnapoteza attention pale mnapokutana I'd za kike Jf?..mbona hajakutusi mkuu matusi yote ya nini mbona unataka utupe tabu ya kukufunga kamba kama dume tukupeleke mirembe.
una kichaaHivi ni kwanini guys wengi Jf uwa mnapoteza attention pale mnapokutana I'd za kike Jf?..
Yaan uoni chochote alichonikosea?unajua ni kwanini uoni chochote? Ni KWASABABU tu ni I'd ya kike ingelikuwa ni I'd ya kiume ungeliliona kosa lake.
alikuwa na haja gani ya kuniambia PATHETIC kwasababu tu mimi pia nimemkumbusha kuwa na yeye ana mapungufu kama yangu?.
Guys kuweni really mahari popote pale ajabu ni kwamba I'd kiume tu ndiyo zinaona nimemkosea huyo dada si I'd za kike.