Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

I can’t with argue anything with you
You can call me whatever name you like
Nonsense
Me as seen through the eyes of this Idiot lady 😂😂😂😂🤣
 

Attachments

  • IMG-20220518-WA0002.jpg
    IMG-20220518-WA0002.jpg
    89.6 KB · Views: 5
Atakua yupo on mission. ..mtu wa system huyo. .yupo kazini hapo. ..kuna watu wanawabaka watu wa aina hio bilakujua wengine wapo on mission. ..be careful buddy
 
You hate men because you were raped by you papa during of your childhood so whenever you find anything else is done by men immediately you become attitude.
You hadn't any sensible reason to attack me because you saw errors on my thread. Normal persona couldn't attacke me in such way.
Poor lesbian girl
Nyani Ngabu tusaidie tuition hapa
 
Ninatafuta namna ya kumsaidia si kumdhalilisha.

Ni hivi, Several months ago nikiwa katika harakati zangu nilikutana na bint mmoja anafanya kazi ya Ufagizi na kukata nyasi barabarani akaniomba nim-ride mkahawani, toka pale alipokuwa ni almost km 1 hivi hadi mkahawani.

Huyu binti alikuwa mchafuu lakini hali hiyo sikuitilia mkazo kwasababu nimemkuta ana fanya kazi na kazi yenyewe ni kusafisha barabara. So, Bila hajidhi nikampaleka pale alipokuwa anataka kufika then nikaondoka zangu.

Jion yake nikakutana nae tena akiwa katika hali ile ile ila mara hii alinichangamkia sana baada ya story then tukabadilisha namba. kwa zaidi ya miezi 9 hadi juzi sikuwahi mtafuta hata yeye pia zaidi ya kuona namba yake whatsapp tu.

So juzi niliweka picha ya kidubwana fulani hivi kwenye Profile yangu ya whatsapp unexpectedly akanitumia ujumbe.. Mi nikazuga kama vile simjui, ni kaanza muomba utambulisho akaniambia mimi fulani fulan siku fulan ulinitendea hivi na vile then akatuma picha zake, mimi ninamchora tu.

Then Nika-pretend kumkumbuka from that particular moment story zikatanuka, kutanuka uko nikajikuta nimemuambia lini utakuja nisalimia? Ni wewe wetu, hata kesho naweza kuja, akanijibu hivyo.

Akaniambia sehemu aliyopo, nauli ni kiasi kidogo tu nikamuomba bank akaunt nikamtumia mara 2 ya nauli inayohitajika.

Kesho yake ndani ya muda alionimbia anakuja akanipigia simu kwamba muda huo anasubiri Tax so niwe around.. Baada ya muda fulani akaniambia ameshafika(nilimuelekeza mtaa na number ya nyumba ninayoishi) so mi nikachomoka mishe nikaibuka hadi pale maskani, nikampigia simu, kupokea tu akaniambia kuwa yupo nyuma yangu..

Nilivyo muona Moyo ukashituka, ni yeye kweli kanenepa ila amekuwa mchafuuu zaidi siku ninamkuta akifanya kazi ya ufagizi.. Nguo alizovaa ni chakavu na chafu sana na Sendo moja inaelekea kukatika.

Tukasogeleana uku moyo ukiwa mbali ila yeye aonyeshi hata hali ya kujistukia na yupo comfortable sana tu.
Nia ya kum- usher inside ili tupige story ikaisha yaani hata boldness ya kusimama nae tu pale ikaanza potea kwa kasi..

Yaan ni chafu kiasi kwamba mtu yoyote akimpita ni lazima aanze udadisi juu yake.
Hapa naishi ni Apartment kubwa watu wanaingia na kutoka muda wote so ili kuepusha macho ya watu nikamvuta pembeni mbali na boom gate nikaanza kumpigisha story za juu juu ili nipate chansi ya kumhepa.

Nikamuambia nisubiri hapa, nikaenda kwa shop jiran nikanunua cold drink nikampa then nikamwambia ngoja nifuata funguo ninarudi.

Nikaondoka, ila hapo katikati kabla ya kuondoka wakati tunapiga story aliniambia siku nikiwa na pesa nimpe pesa kiasi Fulan anataka anunue radio ya kusikiliza mziki.

Vile alivyoniambia hivyo ndiyo akanivuruga kabisa:, why awazie nunua Radio na si nguo na viatu vitu ambavyo hana kabisa!! Huyu atakuwa Mwehu.

Baadae alinitumia jumbe siku jibu, nilikuja kumjibu usiku na kutoa sababu bandia.

Hadi sasa ananitumia text ninamjibu fresh ila najua hayuko sawa ila ninashindwa nianzie wapi kumuuliza nini shida.

View attachment 2323334
Badala ya kumuuliza mtu kama ni mwehu, mfanyie kashopping ( hata mitumba) uone kama atabadilika.
 
Badala ya kumuuliza mtu kama ni mwehu, mfanyie kashopping ( hata mitumba) uone kama atabadilika.
Atimae nimemuuliza,nimeufanyia kazi ushauri wenu.
 

Attachments

  • 20220814_125200.jpg
    20220814_125200.jpg
    260.6 KB · Views: 4
Kuna uwezekano wa mtu kunenepa wakati anapitia magumu?.
Unajua kanenepa na yupo comfortable sana na ile hali.
Nini kinamfanya anenepa na nini kinamfanya awe mchafu na kuwa na nguo chakavu ndicho kinanifikirisha sana. Kuna shida pahari.
Then hapo si SOUTH NI HAPA HAPA BONGO
Kama ni mbongo na anapiga ungenge fresh sidhan kama ni chizi, huyo ni wale ma dont care
We jaribu kumshauri uvaaji wake na kumuelekeza anavyovaa sio, you have nothing to lose, na wenda itamfungulia mwanya na kubadrika na kuonekana bora kwenye jamii
Kupitia kumshauri ndo utajua kama ni kichaa au sio
 
Kama ni mbongo na anapiga ungenge fresh sidhan kama ni chizi, huyo ni wale ma dont care
We jaribu kumshauri uvaaji wake na kumuelekeza anavyovaa sio, you have nothing to lose, na wenda itamfungulia mwanya na kubadrika na kuonekana bora kwenye jamii
Kupitia kumshauri ndo utajua kama ni kichaa au sio

Nimepata ujasili wa kumuuliza na amefungu
 

Attachments

  • 20220814_125200.jpg
    20220814_125200.jpg
    260.6 KB · Views: 6
ni maskini na kazoea hiyo hali yake, maskini unamwona mwehu, fanya hivi , nenda mtumbani mnunulie mitumba mizuri, parfume, lotion then mpe , huenda akabadilika, mimi mwalimu, kituoni kwangu wapo walimu wanava shati , viatu chakavu, hata nikiwa mashambani wapo wakulima wana vaa nguo chakavu ila wanakipato kizuri, hasa ukiwaona utasema ni vichaa, jibu ni hapana wanavaa hovyo sanabu either ya kipato au uadomu wa nguo za kuuza
 
Kwenda huko na kingereza chako cha kuungaunga
How told I hate men au umekosa arguments unajiongelesha tuu mxiiuueee
Sorry kwa kuingilia ila "How told I hate men"
Thats not what its supposed to sound ryt???
 
ni maskini na kazoea hiyo hali yake, maskini unamwona mwehu, fanya hivi , nenda mtumbani mnunulie mitumba mizuri, parfume, lotion then mpe , huenda akabadilika, mimi mwalimu, kituoni kwangu wapo walimu wanava shati , viatu chakavu, hata nikiwa mashambani wapo wakulima wana vaa nguo chakavu ila wanakipato kizuri, hasa ukiwaona utasema ni vichaa, jibu ni hapana wanavaa hovyo sanabu either ya kipato au uadomu wa nguo za kuuza
Sasa kaniambia kile kinasibu, hana pesa na ashazunguka kutafuta kazi lakini bado ni bila bila.

Mimi pia nina shida ila nahisi huruma😔
 
Kichaa hua hajitambua kama ni kichaa na kama akijitambua basi huyo sio kichaa,

Huwezi kutumia akili zenye ukichaa ili kujitambua kua wewe ni kichaa.
 
Back
Top Bottom