ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
mapenzi hayana kanuni mkuu!
wee mnyime hela alafu uone...akibaki ujue waukweli
Habari za siku mzuri ya ijumaa wanaJf, nafikiri mungu kawajalieni afya njema miongoni mwenu, Leo naingia kwa kutaka kupewa msaada wa mawazo ambao ndio thamani kubwa kuliko ule wa fedha. Shida yangu kutaka ni namna gani naweza kumtambua msichana mwenye mapenzi ya kweli kwangu ili niweze kuepuka yale mapenzi yanayoitwa ya fb na kuumia maishani.Usithubutu kumdharau mwenye shida.
Habari za siku mzuri ya ijumaa wanaJf, nafikiri mungu kawajalieni afya njema miongoni mwenu, Leo naingia kwa kutaka kupewa msaada wa mawazo ambao ndio thamani kubwa kuliko ule wa fedha. Shida yangu kutaka ni namna gani naweza kumtambua msichana mwenye mapenzi ya kweli kwangu ili niweze kuepuka yale mapenzi yanayoitwa ya fb na kuumia maishani.
we mwambie alipie bili,kwa mfano mkitoka outing n.k!!hicho kipimo toshaHabari za siku mzuri ya ijumaa wanaJf, nafikiri mungu kawajalieni afya njema miongoni mwenu, Leo naingia kwa kutaka kupewa msaada wa mawazo ambao ndio thamani kubwa kuliko ule wa fedha. Shida yangu kutaka ni namna gani naweza kumtambua msichana mwenye mapenzi ya kweli kwangu ili niweze kuepuka yale mapenzi yanayoitwa ya fb na kuumia maishani.Usithubutu kumdharau mwenye shida.
Kwanza inatakiwa na wewe mwenyewe uwe na mapenzi ya kweli then ndo utampata mwenye mapenzi ya kweli, otherwise ni kwa rehema za Mungu na kwa kukesha na kuomba