Nawezaje kulipia Azam Tv max

Kizoda

Senior Member
Mar 5, 2022
130
296
Nime pakia application ya Azam Tv max leo hili nilipie nicheki gemu ya yanga Na Simba kesho

Cha ajabu nimesha sajili kila kitu Ila nikitaka kulipia wanakataa malipo yangu
Wananitumia SMS eti kabla ya yote nijiandikishe kwanza kwenye Kampung ya DPo think payiment hivi Hawa depo think payiment Na Kampuny ya wapi Tena jamani
Nikisha jiandikisha uko ndo nalipia Azam TV max Sasa yaani uko kujiandikisha tu nilipie 43$ US dollar

Anaye jua mambo Haya naomba msaada jamani naona kama naende kupigwa Na kitu kizito kichwani sijui kama Azam Tv ni kwa watanzania tu au vipi
 
Kwa nnavyojua kama unayo azam tv nyumbani kwako unaitumia number ya king'amuzi chako kwenye iyo app yako kwenye cm
 
Kama hauna king'amuzi cha azam basi kuna option ya kulipia bando kama hauna kisimbuzi...Inaptikana humo humo kwenye azam max.
 
Back
Top Bottom