Nawezaje kuleft kwenye group

Nawezaje kuleft kwenye group

Kibwengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
6,825
Reaction score
5,295
Nitumie njia gani kuleft kwenye magroup ya WhatsApp bila member kujua kama nimeleft
 
Soma hapo
Screenshot_20180908-073821.jpg
 
Ku leave siyo ku left

Tafuta line nyingine ya simu, install whatsapp kupitia line hiyo mpya na uwape contacts wako namba mpya, kisha rudishia line yako ya zamani, kule kwenye group wao watakuwa wanakuona kama member wao lakini kiuhalisia you do not exist, endelea kula maisha.
 
Na mimi nataka nijifunze jinsi ya kuwaleftisha members kwenye group bila kujua
 
chukua maji ya baridi kunywa vikombe vitatu afu kula ugolo bangi 6 afu pasua simu ukishaipasua kimbia bila kuangalia nyuma:
 
Back
Top Bottom