Mimi mzima mpenzi.
Suala la afya au life n death situation yaani sijiulizagi. Maana dhamira will take me to grave. Tena hapo hata sikopeshi, natoa my all. Ila other developmental au vitu vya starehe kiukweli inategemea na mtu na amount.
Mfano ua garagaza harusi na sherehe sichangii. Misiba nachangia coz huwezi plan before hand Kuhusu mazishi. Elimu nachangia coz ni more sustainable lkn vingine no thanks.
Na kumkopesha mtu simkopeshi ili anichukie kwa muda kuliko kumkopesha halafu akukwepe daima ktk kudaiana.
halafu kuna watu ukiwasaidia wanaona kama we ndio una hela nyingi au tajiri sana. hawajui wenzao wanajiminya vile wanajali matatzo ya wenzao.
Unapoomba kitu kwa kawaida kuna mawili...kukubaliwa na kukataliwa...sasa unaposema unaenda kumuomba mtu kitu halafu unahisi uwezo anao na wakati ameshakuambia hana hapo si mnatafutana ubaya??? Shida inaanza pale mtu anakua na majibu yake kichwani tayari halafu anataka majibu ya kichwani kwake ndo apewe....
Basi una moyo wa kipekee...one of a kind naweza sema...!!! Too much is harmful is all i can say..never forget that...Mkuu unajua sisi wabongo sijui utamaduni wa jirani zetu ama nchi nyingine. Huwa tunasaidiana. Kuna watu ambao nawasaidia hata kama nakuwa sina ila najitahidi kuwasaidia ili waondokane na dhahma iliyowapata wakati huo.
Let say mtu anaomba msaada kakwama njiani, hana msaada wowote na kaona kuwa wewe ndio kimbilio kwanini usimsaidie ilhali una uwezo wa kumsaidia?
Mtu ana mgonjwa ama mgonjwa na hana msaada nawe uko katika position nzuri kwanini usimsaidie??
Sijui nina roho ya namna gani? Make mtu akiniomba msaada na nina weza kumsaidia nisipomsaidia dhamira inanisuta nahisi kama nimefanya kosa.
Ila nimesoma ushauri wa watu humu nitajitahidi kuwa na kiasi aisee...
Pole hopeful you are wife material
Sijui labda
kama mpwa akithibitisha deni hili namlipia on the spot, lakini siamini kama umemaanisha.
wewe ni good friend of my Lara 1 sidhani kama vihela kama hivi ni shida kwako, my Lara 1 anakuheshimu sana kwahiyo na wewe muheshimu mpwa wangu hoe, ukoo umeshakuwa mkubwa.
Umenikumbusha namdai mpwa wako Heaven on Earth elfu hamsini....msaidie kulipa