Habari za saa hizi wanajukwaa.
Nimehitimu kidato cha sita mwaka kwa combination ya EGM.
Na nina division two. Na kama mnavyofahamu TCU wameshatoa ruksa kuanza kuapply vyuo vikuu
Sasa kabla sijaanza kuapply naomba nifahamishwe hivi.
Vipi ninaweza kuapply faculty mbalimbali kwa kila chuo.
Yaani kwa mfano UD niaplly B.A.ECONOMICS, ARDHI niaplly BAF, IFM niaplly BBA na mzumbe BAF.
Hili linakubalika? Au ninapaswa kuapply faculty moja vyuo vitano?
Msaada wenu tafadhali