Mkuu huna haja ya kuangakia tafuta sehemu yenye wifi, au unga gb kama 2 kwenye simu yako share internet na ipad yako nenda kwenye settings-general- software update bonyeza hapo ita search itakwambia u-update click update utulie utachukua muda kama hata nusu saa au saa kutegemea na speed ya internet itadownload na kujiupadate automatically.
Kwisha kazi