Nawezaje ku-remove Google Deceptive Site ahead

hyle master

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
207
23
Habari Wakuu,

Kuna mwenye idea ya kuweza kutoa hii kitu my website uki acess via chrome browser / google search engine ina display hio message msaada tafadhali.

1657266122171.png
 
Habari Wakuu,

Kuna mwenye idea ya kuweza kutoa hii kitu my website uki acess via chrome browser / google search engine ina display hio message msaada tafadhali.

View attachment 2284243
Site y

Inawezekana njoo inbox ukiwa na maelezo kuhusu hilo tatizo
 
Kama wewe ni mmiliki wa hiyo site maana yake ina malware au virusi, mara nyingi ni kutokana na watu kuhack site hasa za wordpress na kupachika malware.
So wewe kama mmiliki inabidi urudishe site yako kwenye hali nzuri kisha uwataarifu Google hiyo warning itatoka baada ya siku kadhaa.

Nenda Google Transparency Report kwa kuaanza itafute site angalia tatizo ni nini.

Rekebisha tatizo.

Kisha jiandikishe Google Search console Google Search Console
itakupa hizi warning mapema kama mmiliki na itakuwezesha kusubmit site yako kama umefanya marekebisho.

Kwenda mbele halikisha unatumia passwords ambazo ni secure na unafanya update ya wordpress na plugins mapema.
 
Thanks ngoja nifanyie kazi mkuu.
 
Back
Top Bottom