Nawezaje kiformat simu yangu bila WiFi?

Nawezaje kiformat simu yangu bila WiFi?

kyakakombo

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
41
Reaction score
36
Habari wakuu? Simu yangu inavirus wengi nataka kuifanyia factory reset Ila nakumbuka Mara ya mwisho ililetea option ya kutumia WiFi ndoinakubali mpk nikataguta kwenye WiFi ndo nikafanikiwa .Kwa sasa nipo mbali na huduma ya WiFi je nawezaje kukamilisha zoezi bila WiFi.
Ntashukuru

Sent from my TECNO-C9 using Tapatalk
 
Hapo jirani yako hakuna hata mtu wa kukuwashia WiFi???

Anyway fanya hivi. Remove account yako ya Google kwenye Device yako ndo Uirestore

Kama hujaelewa uliza
 
Habari wakuu? Simu yangu inavirus wengi nataka kuifanyia factory reset Ila nakumbuka Mara ya mwisho ililetea option ya kutumia WiFi ndoinakubali mpk nikataguta kwenye WiFi ndo nikafanikiwa .Kwa sasa nipo mbali na huduma ya WiFi je nawezaje kukamilisha zoezi bila WiFi.
Ntashukuru

Sent from my TECNO-C9 using Tapatalk
Ingia setting=>Accounts=>google=> Bonyeza kwenye vile vidot vitatu then chagua remove account.
Ukimaliza hapo fanya yako hakuna shidaa
 
Asanye mkuu ila naomba kujua naremove VP google account yangu ?

Sent from my TECNO-C9 using Tapatalk
 
Ingia setting=>Accounts=>google=> Bonyeza kwenye vile vidot vitatu then chagua remove account.
Ukimaliza hapo fanya yako hakuna shidaa
Asante mkuu nadhani hapa ndo palikuwa pananipa taabu

Sent from my TECNO-C9 using Tapatalk
 
Ingia kwenye settings>about phone>build number kisha ibonyeze hiyo build number mara saba, hapo utakuwa teyari usharuhusu developer option.
Rudi kwenye settings>developer option>OEM unlocking weka tiki hapo, ingiza password ya simu.
RESTORE SIMU YAKO. Hauitaji wifi
 
BOOTLOADER inahusika vipi na issue ya jamaa?
 
BOOTLOADERinahusika vipi na issue ya jamaa?
Katika comment yangu sijataja hilo neno (bootloader)
Nilichosema mimi aweke alama kwenye OEM unlocking ili akirestore isimdai email
Screenshot_20190113-221836.png
 
OEM unlocking ni kuruhusu bootloader unlocking Soma vizuri screen shot yako
Bootloader huwa inakuwa locked pindi unapoisajili simu kwa email yako ya google ili kuipa ulinzi simu yako pindi itakapofomatiwa na mtu ambaye si mmiliki alali wa simu husika.
Ukiweka tick kwenye OEM unlocking, unakuwa umeiremove hiyo loki. Ukitoa tiki, utakuwa umeiruhusu bootloader ijiloki kama awali.

Faida ya ku-unloack bootloader kwa kuweka alama ya tick kwenye OEM unlocking ni pindi umesahau login details za simu yako na unataka kuirestore.
-ukishairestore, bootloader inakuwa locked kama mwanzo na ukitaka kui unlock tena utatumia step zile zile.
 
Upo sahihi mkuu nimetumia njia hii na nimefanikiwa for 100% Thanx
 
Habari wakuu? Simu yangu inavirus wengi nataka kuifanyia factory reset Ila nakumbuka Mara ya mwisho ililetea option ya kutumia WiFi ndoinakubali mpk nikataguta kwenye WiFi ndo nikafanikiwa .Kwa sasa nipo mbali na huduma ya WiFi je nawezaje kukamilisha zoezi bila WiFi.
Ntashukuru

Sent from my TECNO-C9 using Tapatalk

Umejuaje kwamba simu yako ina viruses???,simu kuwa nzito(kama ni sababu)ni kama umejaza apps nyingi za ajabu ajabu,ambazo pia huleta matangazo yasiyoisha.

Zi uninstall kwanza kisha uitasmini.
 
Mkuu mbona kwenye bandiko langu sijasema kuwa ni nzito..??
Anyway nimeshasolve asante kwa ushauri pia
 
Back
Top Bottom