squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,193
Habari zenu wana jukwaa?
Nimetokea kuipenda sana kazi ya hii app ya photoshop ila sina ujuzi nayo. Ni vipi naweza jifunza jinsi ya kucheza na effects zake? Yaani niwe mtaalam wa photoshop. Najaribu kujisomea youtube ila kama haipandi.
Shukrani mkuu.mimi naown studio ya kupiga picha.. sijawau fundishwa na mtu photoshop ila nimejua na hapo nafanya vitu vingi sana.. picha ni part time tu... why nawe usijue. mimi nilijifunza youtube...
mobile studio mabibo hostel (@photo_studio_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
nina imani nawe ukiingia youtube utajua sana zaidi yangu..
hakuna walimu wazuri zaid ya youtube
Kwa kweli photoshop ninaipenda sana. Ngoja niivalie njuga mtandaoni.Hivi vitu vinaitaji passion Na talent ukisha pata mwanga ndio uingize creativi.........Ila kama una ataka kujua ingia YouTube chukua tutorial Moja rahisi kama zile zenye dk5 hv au 10 hakikisha umeiweza usikate tamaa tumia kama saa4 hv practice mara nyingi pia tumia sana Na written tutorial Huwa zina Saudi
Wengi wanakataga tamaa