Nawezaje badili Facebook account yangu kuwa page?

stivii

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
222
143
Naomba msaada nawezaje badili Facebook account ya kawaida iwe page bila kufungua page mpya.

Nimejaribu sipati hiyo option, napata only option ya ku-create new page siwezi kubadili.

Msaada wakuu

Screenshot_20210317-140052_Facebook.jpg
 
Nenda google search convert “profile into page“ Ingia kwenye iyo link then fuata procedure
 
Nimejaribu kuingia sehemu tofauti zinazotoa maelekezo lakini kuna option wanaizungumzia ya ku-migrate from profile to page kwenye Facebook haipo. Kuna option ya ku-create pekee, na hapo ndio nilipokwama kama unavyoona screenshot
 
sina bundle ngekusaidia issue simple sana ila tumia PC
 
Back
Top Bottom