Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,886 Reaction score 4,606 Aug 6, 2025 #1 Wakuu, naweza kutumia E-office kwa simu au ni mpaka kiwe na PC..? kwa wale wanaotumia Government mailing system..
Wakuu, naweza kutumia E-office kwa simu au ni mpaka kiwe na PC..? kwa wale wanaotumia Government mailing system..
Ibrahim_ Senior Member Joined Aug 13, 2019 Posts 113 Reaction score 177 Aug 9, 2025 #2 Swali kama hili unaulizaje hapa kiongozi. Anyway hiyo ni private network ambayo ili uweze kutumia kwenye simu basi lazima simu iwe connected na network ya office husika.
Swali kama hili unaulizaje hapa kiongozi. Anyway hiyo ni private network ambayo ili uweze kutumia kwenye simu basi lazima simu iwe connected na network ya office husika.
STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,723 Reaction score 7,349 Aug 11, 2025 #3 Naona mambo ya Ofisi mtandao hayo.. Haya bhana watumishi pigeni kazi
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,393 Aug 11, 2025 #4 Kama unapewa details za server, ports etc unaweza uka add manual kwenye app za simu kama Gmail.
S Saimony JF-Expert Member Joined Nov 7, 2015 Posts 447 Reaction score 522 Aug 20, 2025 #5 Chief-Mkwawa said: Kama unapewa details za server, ports etc unaweza uka add manual kwenye app za simu kama Gmail. Click to expand... Mkuu mpaka hapo umeshampoteza. Mwache kwanza huko hapamfai
Chief-Mkwawa said: Kama unapewa details za server, ports etc unaweza uka add manual kwenye app za simu kama Gmail. Click to expand... Mkuu mpaka hapo umeshampoteza. Mwache kwanza huko hapamfai