Naweza kutumia kifaa gani kupata internet badala ya modem ?

Naweza kutumia kifaa gani kupata internet badala ya modem ?

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Posts
1,532
Reaction score
230
Habari wana JF hivi ni kifaa kipi cha internet kinachofaa kwenye computer zaidi ya moderm yakawaida, maana moderm yangu inanisumbua sana.
 
Simu yako mkuu, tena me naona iko fasta zaidi ya modem

Mkuu ila sometime huwa napenda nikiwa home kutumia ka laptop kangu sasa moderm inazingua sana.
 
Mkuu ila sometime huwa napenda nikiwa home kutumia ka laptop kangu sasa moderm inazingua sana.
utafiti amemaanisha kuwa waweza itumia simu yako pia kama modem kwenye hiyo laptop yako na sipingani naye kwani ukiwa na smartphone inayofanya internet sharing speed yake ni kubwa ukilinganisha na modem tunazozitumia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Habari wana JF hivi ni kifaa kipi cha internet kinachofaa kwenye computer zaidi ya moderm yakawaida, maana moderm yangu inanisumbua sana.
  • Tafuta hii Device: HUAWEI E5331, Inauzwa 145'000
OytJpA
 
Habari wana JF hivi ni kifaa kipi cha internet kinachofaa kwenye computer zaidi ya moderm yakawaida, maana moderm yangu inanisumbua sana.

Mkuu nakushauri tumia simu mi natumia tecno 635 ni ndogo tu ina 3G tena kama upo Dar bei chee saana hiyo simu huku kwetu Mpanda-Katavi ni Tsh.80,000/= haitaji kuinstall pc suite wala nini? weka cable yake ile ya chaji itakupa options kibao pale changua internet,speed nzuri saana.
 
  • Tafuta hii Device: HUAWEI E5331, Inauzwa 145'000
OytJpA

Hapo si inabidi uitoe line uiweke kwenye simu uunge kifurushi ndo urudishe??

Inaweza kukaa na chaji kwa muda gan?
 
Geuza simu yako kugawa Wireless.
Ni verry simple.
Kama anatumia simu yenye Adroid System, basi nenda setting kisha Tafuta Portable Wife , kisha Configer portable wifi, jaza jina unalolipenda la wireless network yako kisha weka password ,baada ya hapo Rudi nyuma ,weka Portable wifi On,kwa kuweka alama ya tiki,Kisha washa wireless kwenye laptop na connect network.

Nimeandika Simple nikiamini huwenda simu unayotumia setting itakua tofauti lakinu huo ni muongozo .

Ukipata shida weka hapa ni simu gani unatumia (Adroid Version ipi ?).
 
Hapo si inabidi uitoe line uiweke kwenye simu uunge kifurushi ndo urudishe??

Inaweza kukaa na chaji kwa muda gan?
  • Waweza kufanya top up, kwa kutumia WEB UI
  • Waweza angalia /tuma SMS pia kwa kutumia web ui
  • Kinachotakiwa uwe ume_istall drivers zake na ik😵N
Muda

  • Masaa matano kwa 3g network, more tha 12 hours kwa Edge
  • Ila pia waweza unga kwa USB katika PC yako.,
  • Au pia waweza tumia charger hivyo unakuwa na wireless ya hakika 24/7
zgrdovbu2hrzzs3fit71.jpg
 
Nipe speed yake, na idadi ya devices unazoweza kuunganisha kwa mkupuo?
 
Ahsanteni sana wakuu 2po pa1.
 
Nipe speed yake, na idadi ya devices unazoweza kuunganisha kwa mkupuo?
  • Wireless device = 5
  • Kwa USB = 1
  • Jumla Device sita [6]
  • Speed: 21Mbps
Code:
[TABLE="width: 960"]
[TR]
[TD]Model[/TD]
[TD][COLOR=#333333]E5331[/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Form[/TD]
[TD][COLOR=#333333]Mobile Wi-Fi[/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Communication System[/TD]
[TD][COLOR=#333333]HSPA+ 900/2100 MHz[/COLOR]
[COLOR=#333333]GSM/GPRS/EDGE 850/900/1800/1900 MHz[/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Speed[/TD]
[TD][COLOR=#333333]High-speed DC-HSPA+ packet DL 43.2 Mbps[/COLOR]
[COLOR=#333333]High-speed HSPA+ DL 21.6 Mbps[/COLOR]
[COLOR=#333333]High-speed HSPA (HSUPA/HSDPA)/UMTS DL 14.4 Mbps[/COLOR]
[COLOR=#333333]EDGE/GPRS DL236.8 Kbps[/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Display[/TD]
[TD][COLOR=#333333]TFT-LCD[/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Battery[/TD]
[TD][COLOR=#333333]Capacity:1500 mAh[/COLOR]
[COLOR=#333333]Maximum working time: 5 hours (depending on the network)[/COLOR]
[COLOR=#333333]Maximum standby time: 280 hours (depending on the network)[/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]microSD card slot[/TD]
[TD][COLOR=#333333]Support(Up to 32GB)[/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]External Antenna Interface[/TD]
[TD][COLOR=#333333]1 micro USB interface[/COLOR]
[COLOR=#333333]1 Power button[/COLOR]
[COLOR=#333333]1 Reset button[/COLOR]
[COLOR=#333333]1 WPS button[/COLOR]
[COLOR=#333333]1 SIM card slot[/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wi-Fi Protocol[/TD]
[TD][COLOR=#333333]IEEE 802.11b/g/n[/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wi-Fi Connection Number[/TD]
[TD][COLOR=#333333]Up to 5 simultaneous users/devices[/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Geuza simu yako kugawa Wireless.
Ni verry simple.
Kama anatumia simu yenye Adroid System, basi nenda setting kisha Tafuta Portable Wife , kisha Configer portable wifi, jaza jina unalolipenda la wireless network yako kisha weka password ,baada ya hapo Rudi nyuma ,weka Portable wifi On,kwa kuweka alama ya tiki,Kisha washa wireless kwenye laptop na connect network.

Nimeandika Simple nikiamini huwenda simu unayotumia setting itakua tofauti lakinu huo ni muongozo .

Ukipata shida weka hapa ni simu gani unatumia (Adroid Version ipi ?).
Ahsante sana mkuu kwa Maelezo yako, nimejaribu kufuata maelekezo yako kwenye simu yangu ya Vodafone 875 yenye android version 4.11 lakini nashindwa kupata hzo njia ulizosema. Je tatizo ni lipi mkuu ?????

Pili kaka je sijui unafahamu namna ya kutumia simu kama kifaa cha internet kwa kutumia USB cable ????

Ahsante !!!!!!
 
Alichosema mdau hapo juu ni njia nzr japo kama kawaida simu hutofautiana ila nami natumia Wireless ni nzuri.
 
Alichosema mdau hapo juu ni njia nzr japo kama kawaida simu hutofautiana ila nami natumia Wireless ni nzuri.

Mkuu tusaidiane basi hayo maujuzi kwani nimekuwa nikijarbu hyo njia over and over lakini nashindwa kupata hyo option ya portable WiFi ili kuweza kuconfigure.

Tatzo linaweza kuwa simu yangu au ???????

Je kuna njia nyngne ya kutumia simu kama internet device apart from wireless ????????
 
Ahsante sana mkuu kwa Maelezo yako, nimejaribu kufuata maelekezo yako kwenye simu yangu ya Vodafone 875 yenye android version 4.11 lakini nashindwa kupata hzo njia ulizosema. Je tatizo ni lipi mkuu ?????

Pili kaka je sijui unafahamu namna ya kutumia simu kama kifaa cha internet kwa kutumia USB cable ????

Ahsante !!!!!!

Wireless ndio nzuri Mimi natumia
Tecno P5 .Ebu jaribu kufuata kwa makini maelezo haya hapo chini ambayo nimeyatumiai nimekopi humu JF

Je una Laptop na smart phone? Na je
ina internet bundle? Na je unahitaji
kutumia internet kwenye komputer
yako?
Kama majibu ni ndio, basi unauweza
kutumia simu yako kupata ama
kutumia internet bundles ulizojisajiri
mf yatosha au Bombastik n.k tigo na
zantel sizikumbuki zinaitwaje.
Kimsingi hatuihitaji modem tena
kupata access ya internet.
Jinsi ya kufanya.
Nenda kwenye "settings" kisha
changua "more" halafu click
"tethering wifi hot spot" iweke "on"
wakati huo laptop yako iwe on pia na
iwe na uwezo wa wifi.
Subira kwa muda wa dakika moja ili
laptop iione na kuitambua simu yako
kisha select hiyo connection ya simu
then command "connect", hapo
itakuomba "key/password" ambazo
unazipata kwenye simu yako.
Nenda kwenye wifi configurations au
settings kisha utaona neno
"password" ila mara nyingi haziko
wazi, yaan hazisomeki sasa ili
uzisome nenda chini kidogo utaona
neno "show password" basi click
hapo then password itasomeka,
chukua hiyo password i type kwenye
laptop pale palipoandikwa "key", basi
mchezo kwishney....enjoy!
Na hii munaweza kutumia mpaka
watu au komputa nane kwa mpigo na
umbali wa kuzunguka chumba cha
kawaida.
Kuzima unaweka wifi hotspot "off"
HUHITAJI KUNUNUA MODEM!!
 
ImageUploadedByJamiiForums1410500768.578094.jpg

3G TP-Link Router with Wifi signal.

Pata hii Device kwa Bei ya kutupa.

Tsh 80,000/- tu.

Contact: 0715 240 140
 
Back
Top Bottom