Naweza kusoma programs za computer online?

Bigbootylover

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
2,847
1,826
Hello, habari nataka kujua kama naweza kujifunza programs za computer kupitia simu yangu maana sina uwezo wa kuzilipia huko madarasani, je inawezekana? Vitu kama excel, publisher...... Pia nataka kujua zipi muhimu
 
Mpenzi wa mawowowo... Inawezekana kabisa, ingia kwenye browser yako search ALSON Courses! Wanatoa diploma courses kibao kwenye field mbalimbali ikiwemo hiyo ya Computer.
 
Ingia youtube tafuta tutorial. So kama excel tutorial, photoshop tutorial etc. Hakuna kitu utakachokosa kuanzia Excel hadi ufundi gari.
 
Mpenzi wa mawowowo... Inawezekana kabisa, ingia kwenye browser yako search ALSON Courses! Wanatoa diploma courses kibao kwenye field mbalimbali ikiwemo hiyo ya Computer.
Mr jango msaada kwani nimejiunga alson na kitu kikubwa nimeona wanatoa courses mbali mbali nimechagua kozi mojawapo ila tatizo ni kwamba kila nifikapo kwenye topic husika sioni fundsho / somo ,maelezo ya topic au notes naomba msaada au pengine kuna application. Yao niweze kuitumia
 
VIP ulifanikiwaga kusoma computer online?
 
Back
Top Bottom