Naweza kusoma IT hta ngazi ya diploma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naweza kusoma IT hta ngazi ya diploma?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tizo1, Mar 31, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 858
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Mimi n kijana nliyemaliza fm 6 mwaka huu mchepuo wa HKL.Je kama nikibahatika kufaulu naweza kusoma IT?AU SIRUHUSIWI? Naombeni msaada.
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Unaweza kusoma ukifaulu..inategemea na chuo utakachotaka kwenda.
  Mfano IFM kama umemaliza f6 unafanya certificate 1 year halafu Adv. Diploma ya IT ni 3 years, sijui kama utaratibu umebadilika kwa msimu wa 2010/2011..
  Lakini kwanini ukifaulu f6 usifanye degree moja kwa moja? all the best!!!
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  unaweza lkn kama una matatizo na maths tafuta ustaarabu mwingine, IT sasa hivi sio deal sana unatakiwa uwe umespecialize eneo moja, vyuo vya tz vinatoa IT general na matatizo lukukiiiii, IT ni field pana sana sasa hivi ukitoka nje ndio utajua
   
Loading...