PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Habari za leo wakuu najitokeza kutaka kufahamishwa kama ni salama kufanya mapenzi na mtu anaeumwa ugonjwa wa U.T.I ? Nauliza hivi kwa sababu siufahamu kiundani ugonjwa huu na imetokea mpenzi wangu anao..Je nikishirikiana nae kimwili anaweza kuniambukiza??