Naweza kusex na mtu anaeumwa U.T.I ?

Naweza kusex na mtu anaeumwa U.T.I ?

UTI ni mbaya sana. Lakini kuambukizwa sio rahisi.
Mimi nilikaa na wife bila kujua anaugua UTI kwa mwezi minne bila kuambukizwa.
Wife mwenyewe alikuwa anafahamu kuwa ni mgonjwa lakini alificha jambo ambalo nililichukia sana mpaka basi.
Nilipoona hali yake siyo ya kawaida nikamlazimisha kwenda kupima lakini sio kwa kulazimisha bali kwa njia ya mkato asiumia.
Matokeo ya vipimo vikasoma severity between 58 to 85 mmh. Hiki ni kiwango kikubwa sana.
Mimi pia nilipima lakini nikawa sijaambukizwa ila nilishauriwa nichangie nae dawa.
Hapa naongea kwa experience lakini bado sijajua inaambukizwaje.
Usafi na mapenzi salama ni kinga tosha.
 
Shemeji alipewa dawa gani? Kama unaweza ku share nasi hizo dawa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
MITHALI. 6:32 "Mtu aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA. afanya jambo litakalo mwangamiza nafsi yake". Nimejikuta nakumbuka hili andiko tu!!!!!
 
Habari za leo wakuu najitokeza kutaka kufahamishwa kama ni salama kufanya mapenzi na mtu anaeumwa ugonjwa wa U.T.I ? Nauliza hivi kwa sababu siufahamu kiundani ugonjwa huu na imetokea mpenzi wangu anao..Je nikishirikiana nae kimwili anaweza kuniambukiza??
Unaweza kushirikiana naye vizuri tu, tatizo ni kwamba atakuambukiza usipotumia kinga.
 
Huwezi kuambukizwa kirahisi kama wewe ni msafi. USAFI haswa sio kuoga tu kwa kujimwagia maji.

Kabla ya tendo pendelea kwenda kuoga na unayetaka kujamiiana nae
Baada ya tendo kojoa na osha u
Osha u wako mara kwa mara na maji mengi.
Tawaza kwa maji kila unapoenda haja.
Usivae nguo zenye unyevu na chafu.
Tumia kondom inapobidi.

Boss, naomba nitofautiane na wewe kuhusu hili neno hapo juu "Huwezi kuambukizwa kirahisi kama wewe ni msafi"

Hata kama ni msafi kiasi gani, utapata UTI ukiambukizwa na mwenza wako, unless kama una immunity ya hali ya juu sana. Kumbuka mwanamke huchukua muda mrefu kuziona dalili za UTI kuliko mwanaume. Mwanaume ni mwepesi sana kujua tatizo kwenye uume wake kwa sababu ya maumbile.

Back to the topic.

Inashauriwa kama mwenza wako ana UTI, basi na wewe mwanaume kacheki ujue kama umeambukizwa. Kwa kufanya hivyo mtakuwa mnajitibu wote ili kesho na kesho kutwa msiwe na maambukizi mapya.

Kama mwenza wako ana UTI, na wewe huna, basi tumia kinga kama ikibidi ili kuzuia maambukizi kurudi kwako na kutengeneza usugu kwa dawa zilitotumika kwa mwenza wako.
 
Mimi ata wa kisonono bora niskie utamu maana utamu hauna umri
 
Brother, mbona muoga hivyo, hako ka U.T.I tu ndicho kinakuja kutusumbua sisi watu wazima huku JF? embu jiongeze. Mwenzako Zuma Raisi wa SA alipiga mashine akijua ina H.I.V sana sana alienda kuosha tu baada ya kumaliza. Acha uoga wewe.
 
Habari za leo wakuu najitokeza kutaka kufahamishwa kama ni salama kufanya mapenzi na mtu anaeumwa ugonjwa wa U.T.I ? Nauliza hivi kwa sababu siufahamu kiundani ugonjwa huu na imetokea mpenzi wangu anao..Je nikishirikiana nae kimwili anaweza kuniambukiza??
Inategemea unaweza usiambukizwe ila chukua tahadhari
 
Back
Top Bottom