prosperkimaro
Member
- Aug 12, 2015
- 5
- 1
Hello JF
waweza kujisali, hakuna shida, unatakiwa tu ujitaarishe binafsi kama unayoconfidence nayo hakuna pingamizikwa mfano mtu ambaye hakusoma sayansi anauwezo wa kujisajili kurudia mtihani wa physics na chemistry?
BILA SHAKA UNAWEZA RUDIA HILO SOMONdugu wana JF's nilipata div 3 25 o'level 2011 na nilifeli b/mathematics ila bado naihitaji. Naweza kurudia mtihani kwa somo moja ikiwa nina nia?
Masomo 7 ili upate cheti ambacho kama unataka kwenda kwenye kozi waangalie kama zile aggregates zinatosha. Cheki na baraza la mitihani kama hujaelewa.Msaada jaman hapo juu. Nina nia ya kure-sit ila kuna wadau wananikatisha tamaa wanasema saiv kuresit ni masomo 7. Na je nin ktatokea nimefeli somo ambalo nilifaulu kwa original sitting. Je wataconsider grade ya mwanzo au hyo nilofeli? Asante
KAMA ULIPATA "C" YANINI URUDIE NA HIYO TAYARI NI CREDIT? AU UNATAKA UPATE "A"? SIKUSHAURI URUDIE WAKATI UNA CREDIT PASSAsante kaka hassan lakn hapa nipo mwaka wa pili chuo duce. Ikitokea nimerisit somo ambalo nilipata "c" na ninalisoma hapa chuo alaf nicpate hyo grade itakuwaje? Msaada na hapo
Asante kaka hassan lakn hapa nipo mwaka wa pili chuo duce. Ikitokea nimerisit somo ambalo nilipata "c" na ninalisoma hapa chuo alaf nicpate hyo grade itakuwaje? Msaada na hapo
KWA MFANO MTU AMEPATA ZERO YA 34 YANI KAPATA "D" MOJA TU ANAWEZA KURISITI MASOMO MATATU TU AU MAWILI KWAAJILI YAKUPATA CHETI TUBILA SHAKA UNAWEZA RUDIA HILO SOMO
ILA KWA USHAURI RUDIA KWA MASOMO MAWILI
MFANO;LITER ENG & HESABU ILI IKITOKEA MASOMO YOTE UKAPATA Ds NIRAHISI KUPATA CHET KWAN UKIPATA D MOJA NGUMU KUPATA CHET HVYO KUANZIA D2 NK ILA KM UTACHUKUA HILO SOMO ITAKULAZIMU UPATE WALAU "C" NDO UTAPATA CHET
inawezekana ukipata c moja na D moja umepata chetu ila kama ulikuwa na D moja mkononi ni vizuri pia maana utakuwa na D nne hapoKWA MFANO MTU AMEPATA ZERO YA 34 YANI KAPATA "D" MOJA TU ANAWEZA KURISITI MASOMO MATATU TU AU MAWILI KWAAJILI YAKUPATA CHETI TU
Asant mkuu, lakini pia tunajua mtu akipata D moja awezi pata cheti lakini akirisiti na akapata D mbili au C moja anapata cheti naicho cheti kitaonesha ana masomo mawili tu alio fanya je icho cheti kitakua na uwezo wakutumia kwenye ajila.inawezekana ukipata c moja na D moja umepata chetu ila kama ulikuwa na D moja mkononi ni vizuri pia maana utakuwa na D nne hapo
Ushauri wangu acha uvivu rudia walau masomo 7 ili matokeo yatoke kwa division.Asant mkuu, lakini pia tunajua mtu akipata D moja awezi pata cheti lakini akirisiti na akapata D mbili au C moja anapata cheti naicho cheti kitaonesha ana masomo mawili tu alio fanya je icho cheti kitakua na uwezo wakutumia kwenye ajila.