Sifa za kufanya mtihani A-level km mtahiniwa wa kujitegemea

Kalambajr

Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
7
Reaction score
3
Jamani ivi naweza kua na sifa za kufanya mtihani wa A-level kwa matokeo hy kisw-c,bios-c,geo-d, math-f,hist-e,civ-e na eng-e lkn nimerudia mtihani kwa masomo ambayo nilifeli nimept civ-d,hist-c na eng-d je wananzengo inawezekn?
 
Inawezekana mkuu, kwa maana ukicheki hapo matokeo ya kwanza na ya pili, inaonekana tayari una credits tatu( yaani ufaulu wa daraja C)

na ili mtu aweze kusoma na kujisajili kama private candidate ktk advanced level anapaswa kuwa na ufaulu wa daraja C kwa masomo matatu! kwa ufaulu wako unaweza soma michepuo kama vile HGL,HGK, HKL, GKL na HGE..

Tuwasiliane zaidi kama hutojali 0679 168264
 
Thanks kk ntakucheki [emoji1317][emoji1317]
 
Back
Top Bottom