Naweza kupata wapi vipimo vya kujipima VVU?

Naweza kupata wapi vipimo vya kujipima VVU?

Aventus

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2,011
Reaction score
2,176
Kheri ya mwaka mpya all human beings

Hakika Mungu ni mwema. Ni mwaka mpya wa afya njema na amani. Mwaka nauanza kwa kwenda kupata chanjo ya "hepatitis" kama sijakosea spelling. Ni hatari sana nahamasisha wote tukapate maana ni bure.

Nashukuru Rais wetu wa Jamhuri kahalalisha vipimo vya HIV vipatikane maduka ya dawa za binadamu ilihali bado tamko halijawaendea sekta husika wala kusambazwa.

Niende moja kwa moja kwenye mzizi wa mada. Hivi vifaa vya kujipima ni muhimu sana kuwa navyo. Navihitaji lakini sijui pa kuvipata. Angali kuna baadhi ya watu naona wako navyo lakini hawataki kusema wanavipataje.

Kama kuna mtu anavyo ama anaweza kunisaidia kuvipata. Tafadhali tuwasiliane tutalindana kibingwa.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila hivi vifaa watupe na elimu ya kuvitumia wasituache hivi hivi unaweza jitundika kumbe si ngoma ni tatizo lingine (utunzaji, kuisha muda, kusoma majibu nje ya muda, magonjwa mengine)

mkuu ukivipata jaribu kutafuta na namna bora ya kuvitumia. kila la kheri kwenye utafutaji wako
 
Nimesoma tamko lao humu humu.nimeona wametoa maelezo ya kina.Ni kipimo cha mwanzo.Hata mimi naviitaji....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha nakumbuka manzi flani kitaa mkali hatari alitaka kunitunuku 0717 ila akaniambia hadi tupime kwanza....kumbe alikua navyo hivyo vidude aisee.....tukapima wote tukawa weupe....weekend yangu ilikua tamu kweli ingawa sikumla 0717 🤣🤣🤣

Hivi vidude aisee vitasaidia wengi maana mzigo unautaka ila ndio huna uhakika hata ukitumia mpira unajua kabisa unahemea mahala salama.
 
Hahaha nakumbuka manzi flani kitaa mkali hatari alitaka kunitunuku 0717 ila akaniambia hadi tupime kwanza....kumbe alikua navyo hivyo vidude aisee.....tukapima wote tukawa weupe....weekend yangu ilikua tamu kweli ingawa sikumla 0717

Hivi vidude aisee vitasaidia wengi maana mzigo unautaka ila ndio huna uhakika hata ukitumia mpira unajua kabisa unahemea mahala salama.
Kabisa
 
Back
Top Bottom