The Evil Genius JF-Expert Member Mar 21, 2014 5,466 17,308 Nov 1, 2017 #1 Wakuu habari. Mimi ni mpeni wa vazi la suti mara moja moja kwa mwezi au event sio mbaya. Sasa kuna huu muundo wa suti naona kama umenivutia. Naomba kwa anaejua naweza kuzipata wapi kwa hapa Dar es Salaam. Nimependa muundo wake wa kifuani. Ahsante.
Wakuu habari. Mimi ni mpeni wa vazi la suti mara moja moja kwa mwezi au event sio mbaya. Sasa kuna huu muundo wa suti naona kama umenivutia. Naomba kwa anaejua naweza kuzipata wapi kwa hapa Dar es Salaam. Nimependa muundo wake wa kifuani. Ahsante.
stable woman JF-Expert Member Nov 12, 2013 3,887 4,467 Nov 1, 2017 #2 Duh jina lako mleta mada lina uhusiano wowote na maisha yako?
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,711 12,067 Nov 1, 2017 #3 Inatofautiana gani na zingine!?
mapinduzi daima JF-Expert Member Sep 30, 2013 1,725 2,698 Nov 1, 2017 #4 KakaJambazi said: Inatofautiana gani na zingine!? Click to expand... Kila suti ina muundo wake tofauti
KakaJambazi said: Inatofautiana gani na zingine!? Click to expand... Kila suti ina muundo wake tofauti
Miss Natafuta JF-Expert Member Sep 16, 2015 25,559 45,879 Nov 1, 2017 #5 KakaJambazi said: Inatofautiana gani na zingine!? Click to expand... INA SHELA
mapinduzi daima JF-Expert Member Sep 30, 2013 1,725 2,698 Nov 1, 2017 #8 kilambimkwidu said: Hapa hapa JF Click to expand... Funguka zaidi Mimi pia nahitaji
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 63,676 112,866 Nov 1, 2017 #11 Kuna duka lipo kamata mkuki mall, 1sf floor wana suti nzuri za tofauti tofauti