Naweza kupata wapi kioo cha HP Probook 6400

mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
277
195
Habar za sasa hivi wadau!

Naomba mnisaidie gharama ya kioo cha laptop tajwa hapo juu, iwe used au kipya! Na mahali ninapoweza kukipata(dukani au kwa mafundi)

Naomba niwasilishe! Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo laptop zina kama viooo vitatu tofauti, na vinapishana bei, ili uweze kujua bei vizuri angalia njia ha mkanda zipoje kisha zitume hapa nkupe bei,
mana njia zingime zinashare na dell latitude620/630



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andaa kuanzia 120,000 mpaka 150,000.... Sometimes unaweza pata pungufu ya hapo pia.

Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.
 
Back
Top Bottom