Unamjaribu jiwe ?Zipo ikulu, kama unaitaji sema ntakuletea kimagendo
Kuna likasuku limoja linaropoka ropoka tu Mara litapiga , Mara litafanya nini sijui, linauzwa pale aves shop
kama unataka kwenda kuwa free labour wa serikali huko magereza kama jiwe alivyoagiza..we jaribu tu kufuga hiyo kitu
Acha uongo na kutisha watu kwa usichokijua.kama unataka kwenda kuwa free labour wa serikali huko magereza kama jiwe alivyoagiza..we jaribu tu kufuga hiyo kitu
Unachokijua wewe ni kipi?Acha uongo na kutisha watu kwa usichokijua.
Kwa sasa sheria imekuwa ngumu serikali imezuiaAcha uongo na kutisha watu kwa usichokijua.
Hiyo serikali yenu ya wapi, huku kwetu tunafuga na serikali inajua vile vileKwa sasa sheria imekuwa ngumu serikali imezuia
Unafugia wapi mkubwaHiyo serikali yenu ya wapi, huku kwetu tunafuga na serikali inajua vile vile
Tangi bovuUnafugia wapi mkubwa
Sehemu gani maeneo hayoTangi bovu