Naweza kupata free chanels kwenye DSTV ?

lau_23

Member
Nov 11, 2011
44
24
Habari za leo wana JF.

Naomba msaada jinsi ya ku-access free channels on DSTV (hata kama package ikiisha mda wake).

My decoder model is dsd 3u.

Thanks in advance.
 
Tofautisha CCcam ya A1 na TV1 ni nini? Fafanua


Siku zote katika dongle usikimbilie kitu kipya sokoni,Angalia kitu gani kimekaa sokoni sana e.g TV1 CCcam imeanza since 2012 ila bei zake zilikua pasua kichwa bei zimekuja kueleweka mnamo december 2013 na mpaka sasa bei zinazidi kushuka

Hivo TV1 ni server pekee iliyo survive surflock,emm updates zote za DSTV bila kutikisika

Iko wapi SAT1?

Ilikuja mara ya kwanza tukafa na acct zetu mikononi iliporudi sikutaka tena kuisikia mpaka wa leo mnajua kwa nn haijajipatia umaarufu

Kwa kuanza A1 imekuja poa na 15th December wanaweka Canalsat iwapo server admin wataweza kui crack Mediaguard encryption

Canalsat inachannel nyingi za Kifarasa lkn SS3 na Canal foot,sports ni za soccer hivo ni mbadala mkubwa wa DSTV

Pia kuna tetesi nimesikia watatengeneza receiver inaitwa A1 yenye kuweza kufungua satellite kama tatu ikiwemo na Nilesat kwa wale walioko mwambao wakuweza kushika Bein sports bila shida


However,Subiri tuisome hii server tuone kama ita survive hata mwezi au miezi miwili ikiwa na server clients/accts nyingi
Maana inaweza kuwa stable ikiwa na watu 1000 lkn wakifika 3000 ndo inakula kwenu inaanza minato kama zile dawa za kukamata Panya

kwa sasa tv1 inawateja wengi hakuna mfano unaweza kuangalia acct username ziko ngapi
e.g hddvb3000,ussd3000,besthd3000,DQ3mon3000,hd3mon3000

Yaani ukipiga hesabu za haraka server inawatu wengi mno ukiachilia mbali zile zinazo expire lkn stability yake hiko

Hivo mm siku hizi sikimbilii server mpya mpya hizi angalia hii w-share.info imekuja na mbwembwe inafungua mpaka SS5HD,SS6HD na waka ahidi kuweka canalsat kumbe ni Cheap business strategy mpaka wa leo hizo canal hatuzioni

THOSE WHO HAVE EARS TO HEAR LET THEM HEAR

 
Pia kuna tetesi nimesikia watatengeneza receiver inaitwa A1 yenye kuweza kufungua satellite kama tatu ikiwemo na Nilesat kwa wale walioko mwambao wakuweza kushika Bein sports bila shida
  • @njunwa wamavoko
  • Sio tetesi, confirmed ipo kwenye production
  • Kwa baadhi ya feature ni kama QSAT Q23G, leo asubuhi niliwasiliana na wahusika na nitakuwa ni miongoni mwa watumiaji wa kwanza kabla ya wengine baada ya mzigo kuingi sokoni
Update Dec 9th 2014

 

Hii server hamna kitu nilowauzia nimewarudishia hela zao/kuwabadilishia accts

Inafungua channel za SSni tu kwa SS3,5 na 7 na kwa sasa hapa Tanzania wengi wetu tulo scan channel upya hatushiki chanel za SS3

Hivo hawajamaa wakajipange sio kuingiza watu mkenge wakati server haijakamilika...

Hamna Max 1P na canal sports(mbadala wa SS3 Ambayo nayo haioneshi),Star TV(Hamna kuangalia taarifa ya habari),French channel,Infian channel,Kenyan channels(wapenzi wa CTZN,Kiss,K24 etc)

Labda tusubiri canalsat tu vinginevyo sikuwa home kama weekend hii nimei test hamna kitu hapa

Hii server wakionesha channel zote basi TV1 haoni ndani mana wanatumia Card ya DSTV latest kabisa na paired hivo hawawi blocked mwaka wa leo wala kesho
 
  • Work still in Progress dude !
  • Soon channel zote muhimu ikiwa ni pamoja na SS1 - SS9 zitakuwa ok ; Labda niulize Je unadhani kuwa channel muhimu hazijulikani ? , Na je wajua kwa nini hizi channel muhimu hawajazi add? ;
  • Hili lilibainishwa bayana mapema kabisa, labda wewe ndio ulikuwa hufahamu,
.............Hii server wakionesha channel zote basi TV1 ...............
  • Ndio muelekeo wa hii server, wote tutakuwa mashahidi , Time will tell !
 

This server is meant for Nigeria Market, Ila Tanzania,Kenya hamna kitu hapa...
Nasema hivi sababu ina decode SS3Ni,S5N na SS7Ni sasa sie ambao hatupokei SS3Ni(very important channel) haina maana tena labda ambao sio wapenzi wa mpira...

Hawana maana kuanza mauzo ya acct na receiver wakati % kubwa ya channel hamna...

Server yao ina pontetial moja tu wanatumia Irdeto card version 7 tu ambayo most likely itakua card nzuri maana ni latest hivo ita survive mda mrefu....

All in All kwa TV1 wajipange sana....

Hamna server inafungua channel nyingi za muhimu kuzidi TV1 kuna watu wapenzi wa Kenyan channels,French channels,All sports channels,Indian channels,Star TV etc

Sio Avatacam(dying server),SAT1,A1 na si w-share.info zote bure kwa TV1

Lets watch and see but no chance for them
 
Naomba kueleweshwa hivi inawezeka ukatumia account mbili kwenye reciever moja mfano A1 cccam na Tv1 cccam kwa wakati moja.
 

Source
| http://bit.ly/tv1_vs_A1
 

Njunwa tafadhali nataka kujua hili. Nina qsat q15g haijanisumbua zaidi ya kukatakata. Acc.yangu inaisha 25 Jan,15. Inatumia Avatarcam.
1. Je,naweza badilisha server?
2. Je,hawa wenye server wanawalipa DStv au ni illegal business? Hapa,napumbazwa, huduma hii imeenea sehemu kubwa Afrika.
3. Pia huwa natumia Receiver ya strong na natumia irdeto card ya DStv,. Ni muda mrefu sasa sijalipia hii card ya DStv. Je,naweza pata huduma tu kupitia strong receiver?
 
Last edited by a moderator:

1.Ndio kama ni mpenzi wa SS3,max 1p,Canal sports,Star TV,Kenyan channels,Indian channels,french channels basi TV1 CCcam inakuhusu malipo yake kwangu mm ni 100,000/= DSTV 1yr,na 3month DSTV 55,000/=

TV1 CCcam nayokupa inakuja na expiry hauna haja kuwa na mashaka kuhusu dates na nakikuuzia nakushauri uiandike kwenye diary yako ili iki expire b4 written time tuna refund siku zako

Account format directly from Oscam server


[account]
user =hd3mon0001
pwd =njun056
uniq =3
expdate =2015-03-20
group =1 njunwa



Pia nauza A1 CCcam iwapo unakubaliana na channel ambazo hazionekani

A1 CCcam 6months 60,000/=
a1 CCcam 1yr 90,000/=


2.Kuhusu hilo swali lako ndio hawa jamaa wanalipia Premium package ya DSTV ya Nigeria ndo maana unakuta baadhi ya channel za Ghana,UG na TZ hatuzipati
Kwa sasa wamenipa task wakinipa hela nzuri ntawatafutia Card ya DSTV ya East Africa hivo ilo lisikupe shida

3.DSTV card yako ni ya mwaka gani?
Je mara ya mwisho kuitumia kwenye strong decoder ni mwaka gani?
Ukinipa majibu appropriate ntakupa jibu sahihi kuhusu swali #3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…