pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
- Thread starter
-
- #21
Am proud of him,but has shamed me !each and every thing i gave so as to achive his studies well ,unfortunately he held last postion in the classMkuu, unakosea sana kusema hivo juu ya mwanao
Mimi siku nikiwa na mtoto siwezi kumsemea hivo
You got to be proud of your child
Usikate tamaa, mkuuAm proud of him,but has shamed me !each and every thing i gave so as to achive his studies well ,unfortunately he held last postion in the class
Hadi sasaKwa hayo matokeo hata vigezo vya zamani vya atleast two principal pass haendi (zamani two principal pass EE uaingia chuo tena kozi za sayansi za kumwaga)
Ni noma huu mwaka....three zenye double E zitakosa degree.Bila point 4 chuo huwezi kwenda..ishu sio tu three..inabidi awe na DD(mfano hizi ni point nne)
Habari wakuu?naomba kujua mwanafunzi aliepata daraja la 15 kwa mchepuo wa CBG anweza pata chuo cha shahada?pia kozi zipi anaweza somea kutokana na ufahuru huo.....naombeni ushauri kwani hapa nilipo sina hamu na huyu mtoto,nmemupatia kila kitu lakini mtunda yenyewe ndo amekuwa wa mwisho darasa zima
Amepata S.S.D
Div.III ya 15 sio ishu, ishu ni je ana D mbili ambazo ni Principal Pass.my friend kwanza relax! ..........................(pia pole kwa yaliyokukuta, nawasiwasi ni wewe)
Vyuo ni vingi sana, inahitaji kutulia, leo matokeo yametoka, huwezi fanya maamuzi mazuri leo, pata muda, tafakari matokeo yaliyopatikana kisha angalia muhusika (au kama ni wewe) unapendelea kusomea nini, kisha tafuta vyuo utapata vingi,
binafsi dv iii.15 sio ya kukosa chuo!
Minimum entrance chuo kikuu ni D D
AU C E
Mimi nimepata C E na nilikua ninatamani saana kusoma BELM pale mzumbe je ninaweza kupata nafasi? Hist D,Kiswa C,Lang E asante
Kila kitu mkuu hupangwa na Mungu cha umuhimu afanye kuapply kwa ngazi za diploma asome.Am proud of him,but has shamed me !each and every thing i gave so as to achive his studies well ,unfortunately he held last postion in the class
La juu la BuguruniDaraja la 15 ndiyo daraja gani mkuu?
Sasa huyo alikua anafanya nini shule jamaniAmepata S.S.D
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sasa huyo alikua anafanya nini shule jamani
Haiwezekani in 2 years ukapata marks za mbumbumbu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hivi umesoma science?Haiwezekani in 2 years ukapata marks za mbumbumbu
PCM nikatoka na div 1Hivi umesoma science?
Unajua mambo yakiamua kukuendea kombo?
Haiwezekani in 2 years ukapata marks za mbumbumbu
Sijawahi kukutana na MWANA-PCM mwenye majivuno kama wewe. Nina hofu na hiyo div 1 yakoPCM nikatoka na div 1
Hongera kama kweli!PCM nikatoka na div 1