Naweza kupata chuo cha shahada

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
518
Reaction score
815
Habari wakuu?naomba kujua mwanafunzi aliepata daraja la 15 kwa mchepuo wa CBG anweza pata chuo cha shahada?pia kozi zipi anaweza somea kutokana na ufahuru huo.....naombeni ushauri kwani hapa nilipo sina hamu na huyu mtoto,nmemupatia kila kitu lakini mtunda yenyewe ndo amekuwa wa mwisho darasa zima
 

my friend kwanza relax! ..........................(pia pole kwa yaliyokukuta, nawasiwasi ni wewe)

Vyuo ni vingi sana, inahitaji kutulia, leo matokeo yametoka, huwezi fanya maamuzi mazuri leo, pata muda, tafakari matokeo yaliyopatikana kisha angalia muhusika (au kama ni wewe) unapendelea kusomea nini, kisha tafuta vyuo utapata vingi,

binafsi dv iii.15 sio ya kukosa chuo!
 
nazani chuo kikuu wanaenda wenye 1&2 (kusoma degree) wengine wanaenda vyuo vya kawaida yaani institution (kusoma certificate &diploma)
 
Bila point 4 chuo huwezi kwenda..ishu sio tu three..inabidi awe na DD(mfano hizi ni point nne)
 

Minimum entrance chuo kikuu ni D D

AU C E

Kama ana hizo atapata
 
Mkuu, unakosea sana kusema hivo juu ya mwanao
Mimi siku nikiwa na mtoto siwezi kumsemea hivo
You got to be proud of your child
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…