bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
- Thread starter
-
- #61
Naona hata ukihamishwa kwenda bukoba bado utaendelea kutoka na mke wa mtu ambaye alikuwa mchumba wako hapo awali.
kaka wew wasema... ivi mtu anakutamkia "mm nazuga tu pale simpendi na kwanza huwa silali nae" na anakuonyesha meseji za mume wake akililia apewe mambo walau siku moja kwa wik na anakataliwa si utaamini$!? halafu anapewa sheria ya kutumia kondomu bila kondomu hapati na wew unatumia unavyotaka mtoto anajishughulisha zaidi ya uwezo wake si utapagawa? hiv vitu anko ni vya kuacha tu... ila ninakushukuru kwa ushauri
Sema mkuu..ww una roho ya uruma kwa hawa wadudu!! hata iweje nagonga namuacha...why ajaeshimu hisia zako mwanzo mkuu.....kimbiza huyoo..... utamsamehe then akikuzoea tena baba wa mtoto atakuwa anapiga tu
Ahsante sana brother hizi experience ndio nilikuwa nazitaka... kuna kipindi alikuja nyumbani akachukua simu yangu lakn akakuta kuna mesej za mpenz wangu mwingine ambaye kiujumla simpend kivile na ofcourse yuko mbali akawa amekasirika sana akawa kachukuwa zile namba baadae yule msichana akanipigia anasema kamtukana sana, nikamuulza kwa nin umemtukana mtoto wa watu akasema eti mim siwez kuwa namcheat huku anaona na akatamka waz kwamba atamfamya vibaya huyo msichana sasa cha ajabu nikimwambia lkn wew . si mke wa mtu anasema "nani alikuambia mim nimeolewa" yaani ilikuwa inasikitisha mpaka sasa alikuwa ana uwezo wa kunipigia cm usiku sasa sijui ana madawa yaan dah kaz ninayo.
Unatafuta kiki ushuzi......
Usiniletee stress za maisha yako kutaka kujifanya unanijua.....
Hapa umechemsha.........
"Hakuna asiyekujua hapa jf"
Really? Kichwa chako kinahitaji tiba...
Goodnight
Hahahahha...eti kiki, ndio nini hiyo?
Wewe ndio una stress tena nyingi sana Mrs perfect, we unafikiri hakuna asiyekujua humu ndani...you just pretending your life , ask yourself my dia what happened to you this week yaani mpaka hicho utaki kujishangaa kwamba unateketea..
Every body is sick especially Wewe tena tiba unayoitaji ni kubwa sana sema ujijui hata chizi anayeokota makopo anaamini yupo perfect kama wewe..take it my Dia..
Usiku wangu hauwezi kuwa mzuri kutoka kwako
Milembe inakuhusu........
Na ignore list inakuhusu
Katafute wakumshobokea sio mimi
Ulivyo na matatizo ya maisha ndio unadhani kila mtu anayo kama yako
Hao wanaonijua hawana id????
Kweli chizi sio lazima avue nguo.
Kitendo cha kudhani unawajua watu wa humu na kujifanya ni msemaji wao ni uchizi wa kutosha....
Rest in ignore list
Ndio nakuoeleka ignore list lama ifuatavyo...
Ukatafute kiki ushuzi huko mbele
Labda utakuta makopo uokote.....maana ndipo unakoelekea
Eehh ushuzi tena..kwani we ujambagi..hahahahah
Mie nakujua tu hata iweje sasa mbona unakimbilia Polisi..
Eti chizii..mwanamke aibu uone basi kujitia tia tu
Wewe na huyo jamaa mwingine wote ni michepuko yake tu. Mume bado hajafanikiwa kumpata.
Mbaya zaidi alikuwa nae kabla hajaolewa, kilichomtoa ni nini na kinachomrudisha ni nini au alisahau nini mpaka atake kurudi? Usii entatain coz alikuoana wa nini we mwone wa kazi gani.Kumbe kuna watu waji.nga kiasi hiki. Yan mwanamke keshaolewa keshazaa wa nini tena!!! mbona wanawake wako wengi sana mjini humu mkuu.
Ahsante sana brother hizi experience ndio nilikuwa nazitaka... kuna kipindi alikuja nyumbani akachukua simu yangu lakn akakuta kuna mesej za mpenz wangu mwingine ambaye kiujumla simpend kivile na ofcourse yuko mbali akawa amekasirika sana akawa kachukuwa zile namba baadae yule msichana akanipigia anasema kamtukana sana, nikamuulza kwa nin umemtukana mtoto wa watu akasema eti mim siwez kuwa namcheat huku anaona na akatamka waz kwamba atamfamya vibaya huyo msichana sasa cha ajabu nikimwambia lkn wew . si mke wa mtu anasema "nani alikuambia mim nimeolewa" yaani ilikuwa inasikitisha mpaka sasa alikuwa ana uwezo wa kunipigia cm usiku sasa sijui ana madawa yaan dah kaz ninayo.
kaka wew wasema... ivi mtu anakutamkia "mm nazuga tu pale simpendi na kwanza huwa silali nae" na anakuonyesha meseji za mume wake akililia apewe mambo walau siku moja kwa wik na anakataliwa si utaamini$!? halafu anapewa sheria ya kutumia kondomu bila kondomu hapati na wew unatumia unavyotaka mtoto anajishughulisha zaidi ya uwezo wake si utapagawa? hiv vitu anko ni vya kuacha tu... ila ninakushukuru kwa ushauri
aisee! Napata picha flan hivi:
umewahi kuwa na uhusiano na wanawake wangapi?
. Nafkir hujawahi kutamkiwa neno nakupenda kutoka kwa mwanamke na huyo ni wa kwanza ndio maana unadata.
Kuna hatar inakufuata ww endelea kujifanya unapendwa wakat anakukejeli
dah! Unanisikitisha sana mkuu!
Hivi ni nini hasa kimekukumba?
Yaan mke wa mtu tena aliyekusaliti anakuendesha hivyo?
Unatudhalilisha wanaume wenzako mkuu
Mbaya zaidi alikuwa nae kabla hajaolewa, kilichomtoa ni nini na kinachomrudisha ni nini au alisahau nini mpaka atake kurudi? Usii entatain coz alikuoana wa nini we mwone wa kazi gani.