bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
- Thread starter
-
- #41
mkuu unatuabisha mainjinia unashindwaje kutambua hatari ya kugonga mke wa mtu.
Huyo mwanamke kakugeuza wewe zombie wake......
Ila jua cha mtu mavi...ngoja mumewe ajue wewe ndio chanzo cha ndoa yake kuvunjika...(ingawa unasema mwanaume hajajitambulisha)
Anyway kama anakupenda sana angehamia kwa mwingine???
Hivi inapokuja swala la mapenzi akili zinawekwa (ga) mfukoni eeeh???
Kumbe kuna watu waji.nga kiasi hiki. Yan mwanamke keshaolewa keshazaa wa nini tena!!! mbona wanawake wako wengi sana mjini humu mkuu.
badili tabia... !!!!!!!wewe ni nani?
Kaka nimeshafanya kuifuta namba yake kwa mufa kama wa wiki lakin alivonitafuta yaan nikawa nimeshasahau kila kitu... inanisikitisha sana kwa nin sina maamuz juu ya hili hata kama nampenda why nikimfikria nasahau ujinga ninaoufanya dah very sad aiseee!
Ujui unachoongea Wewe, funga bakuli lako
tulia ma.laya mzee wewe
Mkuu niwie radhi kwa situation iliyopo hata wew ungefanya vilevile
badili tabia... !!!!!!!
Sio kweli maana wewe ndio unayetakiwa ubadili tabia yako
Unayaongea hayo kwa sababu unanijua sana eeh???
mkuu ningefanyeje??
Yaan nianze kufikiria kumuoa mwanamke aliyenisaliti na ameshaolewa na amezalishwa kabisa?
Labda kama nina matatzo ya akili sawa
Hakuna asiyekujua hapa JF ,na hata matatizo yanayokukabili my Dia
Waulize wakwambie
Katika maisha kuna mambo ambayo unatakiwa ukubaliane nayo kuwa hujafanikiwa kuyapata...mojawapo ni hili ambalo lakuamini kila uliyeanza nae mahusiano lazima uoane nae wakat yeye hakutaka hali hiyo....
Yeye kuzunguka sana na hatimaye kukupotezea akaenda olewa na kisha sasa ni mke wa mtu tena mwenye mtoto wa mtu huwezi msingizia shetan hapo na wewe ukikubali shetan kusingiziwa UTAKUWA NI MPUMBAVU....
Kuna nyakati ambazo MUNGU hukuepusha na hatari lakini kwa kiburi cha wanadamu hufuata madhara hayo,ninaona maumivu ya moyo unayoenda kuyapata na hata ya kimwili ikiwa utasimamisha shingo yako nakuendelea na MKE WA MTU.....majuzi kuna jamaa aliliwa watsap kwa kutembea na mke wa mtu katika mazingira kama haya unayoyahadithia,jamaa alijiua mchana kweupe kwa aibu aliyoipata..mke wa mtu ni sumu na maziwa yake nikuachana na mke wa mtu...
Ukitaka kujua kuwa huyo mwanamke ni mtu asiyejali maumivu ya mtu mwingine muambie na wewe unataka utafute mwanamke mwingine kisha uzae nae halafu ndo mje kuoana nae uone kama atakubali...
Lakini niseme kuwa MUACHE KIBURI ale malipo yake hayo ndo maisha aliyochagua...
we ina maana wanawake wote wamwkwisha mpaka huyo huyo tu.....