Nakala ninayo. Hoja zilizopo zinaeleweka. Sema kwa maelezo ya Hakimu, Wakili wa upande wa pili ataandaa maelezo nami ndio natakiwa kuyajibu kwa maandishi ndipo usikilizwaji wa kesi ufuatie. Hayo maelezo ndio bado hayajaandaliwa, hivyo tarehe husika ikifika nitafuatilia kuchukua nakala kisha kuandaa hayo majibu