Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Eeh!
Ndo hivyo kwa mwenye uelewa wa hii kitu
Well, nmefanikiwa kufanya mtu asiweze ni add kwenye grp bila mimi kutaka
Sasa nataka niweze kutoka kwenye group bila kuonyesha kuwa this guy "left"
Hapa inawezekana kweli wadau.
Sijataka ku gugo, well nme gugo sjaona kitu
Uzi tayari