Naweza ku-apply kama new applicant kwenye third round

Naweza ku-apply kama new applicant kwenye third round

Kawaulize pale mwenge mi kwa second round walinikubalia niapply kama new applicant
 
Km hukuwahi kuapply unaanza upya(New Applicant)

Km ulishaapply round zilizopita ukakosa unabadili tu machaguo
sasa kaka angu mbona wamesema kwa wale walio jiregister tuu ambao wamekosa awam ya kwanza na pili
 
Jamani hivi ni sawa, profile yangu inaonyesha WAIT FOR NEXT SELECTION, Lakini siwezi kuona hata machaguo yangu ya vyuo.

Is this okay??
 
kak

dah mwakani mbali kama ikiwezekana nisome mwaka huu
Bora uchelewe kuliko kusoma kitu kwa pressure, ukajutia baadae mwaka mmoja sio mbali hope utaweza kurekebisha makosa uliyofanya wakt wa kuchagua first round
 
Jamani hivi ni sawa, profile yangu inaonyesha WAIT FOR NEXT SELECTION, Lakini siwezi kuona hata machaguo yangu ya vyuo.

Is this okay??
Wait = subiri
Usiwe na haraka watafungua tu
 
Bora uchelewe kuliko kusoma kitu kwa pressure, ukajutia baadae mwaka mmoja sio mbali hope utaweza kurekebisha makosa uliyofanya wakt wa kuchagua first round
asante kwa ushauri ikishndikana itabidi nifanye ivyo
 
Back
Top Bottom