naweka dhamana yangu vifaa vya car wash

naweka dhamana yangu vifaa vya car wash

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Nina shida na milioni moja mtu mwaminifu ajitokeze kwa mkopo huo piga namba 0714064767
 
Ilikua milioni nne naona imeshuka,pole sana asee.
 
Unatia mashaka, toka 4m mpk 1m, mjini hapa.
Mkuu Remmy usiseme hivyo ndugu yangu hayajakukuta,unaweza jikuta unamwambia wife apitepite mitaani angalau arudi na chochote.Huyo ndugu ni katika kutafuta urahisi wa kupata pesa ndio unamuona anashuka kiasi hicho.
 
Last edited by a moderator:

asante remmy yeye aliandikiwa hatopata matatizo milele kwani kipindi nipo njema mbona niliweza kununua mali hizo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom