Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal


OYA HILO DAU LAKO MBN DOGO, TUWEKEANE 1 MILLION….BINAFSI NASHIDA NA HIZO MILLION 2
 
Timu imepita kwa away goal advantage tena kwa timu ya Ethiopia ila inavyo pambwa wao hawaoni ugumu wanao enda kukutana nao na wa Angola walio shinda away
 
Ukitizama vizuri hiyo video ya vibe utaniona nimeshika fataki 🤣🤣🤣🤣
 
unazani Al Hilal wangepewa zalan si wangempiga 100-0. wao walianza na st george washindani kweli kweli sio zalan na mechi zao zilikuw na home na away sio kwa mkapa zote mbili.
 
Unaonaje uweke tako kabisa ili wakufumue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…