G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,704
- 36,456
Ni wazi sasa dili limebuma au wanasema wengine 'disko limeingia mmasai'
Kuna vigogo wengi sana walitimua mbio kuelekea Bagamoyo na kujinyakulia Mashamba ya haja huku wakijitapa kuwa siku sii nyingi watanufaika na ujio wa Bandari ya Bagamoyo!
Hawa ndiyo hasa walioweka msukumo kuwa ni lazima bandari ijengwe Bagamoyo badala ya Tanga kwakuwa wangenufaika na ujenzi huo!
Ghafla bin vuu viwanja Bagamoyo vikawa havishikiki kwa kigezo cha kuwa litakuwa jiji la kiuchumi!
Kwakweli nimefurahishwa sana na usitishwaji wa huu ujenzi lakini natoa angalizo la kujengwa bandari ya kisasa Tanga! Hilo halikwepeki hata kidogo!
Kwa wale ndugu zangu kina FaizaFoxy wenye yao kule wanaendelea kuisoma kwa kwenda mbele dili limebuma naona hata viwanja vitashuka bei kwa mfumo wa maporomoko!