alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,198
Kuna u special upi kwao hawa jamaa?!
Kila mahali RC huwa wanapewa nafasi maalum na pia mkutano wao na kiongozi yeyote yule huwa ni nadra sana kujumuishwa na taasisi zingine.
Rejea jana pale jumba kuu mkutano wao ulikuwa ni peke yao na wale wengine pia walienda kwa mda tofauti-kwanini?!!!
Wajuvi nijuzeni tafadhari!