Nawaza tu. Hizi kazi za kukatisha tiketi kwenye BRT (Mwendokasi), kwa nini wasipewe walemavu

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,938
4,354
Hizi kazi binafsi naona wapewe watu wenye ulemavu kama viwete, viziwi.

Maana kwenye hili kundi kuna watu wamefanikiwa kupata elimu lakini changamoto kubwa imekua kupata ajira.

Katika vituo vya mwendokasi, mkatisha tiketi kwa muda mwingi anakua amekaa tu, nadhani hii aina ya kazi inawafaa sana ndugu zetu walemavu.
 
Wewe Ni mpumbavu tu,Hakuna namna nyingine ya kukuita ....

Mbona ofsi nyingi wanatumia muda mwingi kukaa,na kuhudumia watu ..

Bank zote watoa huduma wamekaa kwenye kitu hawanyanyuki ,Kwa hio na wao waende wakatoe huduma walemavu ?
 
Back
Top Bottom