Nawaza tu, hivi Mh. Mizengo Kayanza Pinda yuko wapi?

Think Hard

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
318
303
Wakuu,

Nimejikuta tu nawaza, hivi Waziri Mkuu mstaafu Mh. Mizengo Kayanza Pinda yuko wapi? Simsikii kabisa. Pia na Ndg. Samwel Sitta.
 
Muda mwingine huyu mzee alikuwa na huruma, hali iliyokuwa ikipelekea kudondosha chozi kwa baadhi ya mambo hasa pale yanapomgusa.

Nauliza yuko wapi na busara zake maana zinaweza kusaidia hasa kwa kipindi hiki ambapo nchi haijui INA msukosuko Wa kiuchumi?
 
Yupo ZUZU DODOMA analima zabibu na kufuga kambale mumi
 
Back
Top Bottom