Nawaza kutengeneza kundi la whatsapp na ma X- girlfriend watoe maoni yao

Kuna kautafti nakafanya hapa!

Nimeamua kutengeneza group la whatsapp kwa ma x girl friend wangu wote niliowahi kuwa nao!!

Nitawaletea mrejesho kama group litadumu!
Hapa ndio akili ya kijana wa kitanzania ilipoishia.

Mbaya zaidi ukimaliza shule utaajiriwa kama mshauri wa rais na bado tutakua tunajiuliza kwann tanzania ni maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom