Nawauliza wanaume tu tafadhali nijibuni

Nawauliza wanaume tu tafadhali nijibuni

monn bana kashempa sasa jamaa hajbu msg hapg smu ndo anatulza.ukmpa sku ya kwanza n mwepes siyo mchoyo krefu huna jipya
 
Hamna tatizo, ila ujue atakuchukulia kama malaya fulani hivi anayegawa gawa hovyo kwa kila suruali. Hivyo utakuwa ni wa kutomb.wa tu hamna uhusiano hapo!

Mwanaume unatakiwa kuwa na mtazamo mpana, mimi naona ni afadhali anaesomeka siku ya kwanza kuliko wa kujishaua. Kama ni malaya,hajifichi hata kama atakuzungusha mwezi mzima.
Mwanamke asie na longolongo anakuwa na confidence na kutambua anachokitaka, sizungumzii machangudoa bali mwanamke anaejiheshimu na mwenye msimamo unaoeleweka.
 
Hakuna tatizo kama kakupenda ata achia tu but weng huogopa na kujihisi utamwona kama malaya vile cunajua tena
 
Inakuwa imekaa pouwa sana wengine huwa hatupendi usumbufu,nimekufuata,nimekueleza umeelewa,kunahaja gani kusumbuana? Nipe nikupe ndio habari yamjini sio unisumbue mpaka hamu iishe

Ndio hivyo au kama hutaki,sema kwa uwazi badala ya kunisumbua kwa mashauzi yasiyo na msingi nikiwa sielewi kama unataka kustay au unataka kuondoka uendelee na maisha yako so nikuache.
Unakuta mtu anakuzungushwa miezi 6 na mizinga juu halafu anaishia kupigwa kiss tu au anaambiwa vitu vya kijinga visivyoeleweka.
 
Hakuna tatizo lolote!Ni mitazamo hasi waliyonayo baadhi ya watu.
Mie sioni tatizo mwanamke akinitongoza/akinipa papuchi siku ya kwanza tunaonana.... TENA NDIO NTAPENDA MARADUFU!

Asilimia kubwa ya niliodumu nao,hawakuniletea utoto wa sitaki nataka, na kuna mmoja alitaka kunifanya niwe chizi kwa jinsi nilivyompenda
 
Eti wakina kaka msichana akitogozwa kwa Mara ya kwanza then akakubali then siku iyoiyo akaachia miguu na kutoa tunda eti kunatatizo? Maana naona hakuna haja ya Kubana akati kuna siku utaachia tu

Baada ya ushauri huo mzuri naomba unipanulie na mimi rafiki
 
Tunda kabla ya kuwekwa mezani na kuliwa linatakiwa kuoshwa ili mlaji alifurahie. Sasa kama la kwako muda wote liko vizuri ni vyema. Naamini una maanisha kuwa huyo mwanaume una background yake kidogo na mnafahamiana kama sivyo kuna wasiwasi kwani completely stranger ni ngumu na utaonekana una shida upstairs. Tazama hii video http://youtu.be/p3MwTuWgLiA

Anavyozungumza ni kwa namna ya kihuni sana, hakuna mtu anaeweza kumsikiliza mtu kihivyo.
 
Thanx kaka coz mtu naweza kuona malaya

Kama wewe una confidence kuwa si malaya na unampenda na umeridhika ana tabia njema, sioni sababu ya kumpotezea muda. Endapo una uhakika anakupenda lakini
 
Back
Top Bottom