Nawauliza wanaume tu tafadhali nijibuni

Nawauliza wanaume tu tafadhali nijibuni

monn

Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
25
Reaction score
10
Wakina kaka msichana akitogozwa kwa mara ya kwanza then akakubali then siku hiyohiyo akaachia miguu na kutoa tunda eti kunatatizo? Maana naona hakuna haja ya Kubana wakati kuna siku utaachia tu.
 
Hakuna tatizo hata kidogo,anayebana kwa kupoteza muda wakati mwisho wa siku ataachia tu ndo ana tatizo..
 
Hakuna tatizo..usimbanie kama yule mwimbakwaya mwenzio.
 
hiyo ndo safi sana na anaonekana anajiamini n'a tam tam yake
 
Hata mimi niliingia JF kupitia MMU, kwakuwa hapo ni kama ubungo terminal kituo kikuu cha kupokea wageni
 
Anayesikia Utamu Ni Mwanamke Kwanini Ajinyime Kupewa Utamu We Toa Utamu Tu
 
Mwanakwaya umekuja tena kvingine?! Uzi wa asubuhi ulisema unaogopa kumwambia,, saiv ameshakwambia na unataka umpe papuchi.
Aisee we mkaleeeee.....
 
Mwanakwaya umekuja tena kvingine?! Uzi wa asubuhi ulisema unaogopa kumwambia,, saiv ameshakwambia na unataka umpe papuchi.
Aisee we mkaleeeee.....
Wanakwaya wa kwaya ya mtakatifu Juma...
 
Na akiwachia nataka aniambie anapenda mambo gani ya kutendewa na mimi niongezee yangu tufike mlimani kwa raha zetu. Maana najua hata yeye alivyoamua kuachia kuna utamu anautaka ili aweze kidhi haja zake maridhawaaa..
 
Eti wakina kaka msichana akitogozwa kwa Mara ya kwanza then akakubali then siku iyoiyo akaachia miguu na kutoa tunda eti kunatatizo? Maana naona hakuna haja ya Kubana akati kuna siku utaachia tu

Umri wako?
Nini malengo yako na hadi sasa umefikia wapi kutimiza malengo yako?
Unajilinda vipi na magonjwa ya zinaa na mimba zisizotarajiwa?

Kila la heri ndugu.
 
aisee mimi nilianzia siasani nikaanza na ban ya wiki

Hahahahaaa mimi ban imenikosakosa sana kule mwishowe nikaamua kuhamia nilikoingilia lakini baadae nikatekwa kimoja kulee kwenye mambo yetu
 
Eti wakina kaka msichana akitogozwa kwa Mara ya kwanza then akakubali then siku iyoiyo akaachia miguu na kutoa tunda eti kunatatizo? Maana naona hakuna haja ya Kubana akati kuna siku utaachia tu

Tunda kabla ya kuwekwa mezani na kuliwa linatakiwa kuoshwa ili mlaji alifurahie. Sasa kama la kwako muda wote liko vizuri ni vyema. Naamini una maanisha kuwa huyo mwanaume una background yake kidogo na mnafahamiana kama sivyo kuna wasiwasi kwani completely stranger ni ngumu na utaonekana una shida upstairs. Tazama hii video http://youtu.be/p3MwTuWgLiA
 
Back
Top Bottom