honey bee
Senior Member
- Nov 23, 2021
- 139
- 236
Pale wanapopenda. Idea ya kwanza kichwani kwao huwa ni ipi?
Ngojea nifafanue:
Ikitokea nimemkubali msichana flani, niwaze niwazavyo ila mwisho wa siku ntawaza kusex nae kama main root (sitaki matusi) sifahamu kama na kwa men wengine iko hivyo.
Je, wao huwa wanatuwazia nini wanapotupenda 'as main root?'