Nawatakieni Weekend Njema

Nawatakieni Weekend Njema

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
10489733_10152598186468321_5848718383746061659_n.jpg
 
AMRI SABA KWA WAPENDAO OFA:

1.Muheshimu anaekununulia bia
2.Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini.
3.Uwe ndie mchekeshaji wa kikao,lakini usimkatishe mtoa ofa mazungumzo.
4.Mtoa ofa akikutuma usikatae.
5.Mtoa ofa akiupenda mziki fulani,wewe anza kucheza kwa bidii kabisa.
6.Usinywe kwa pupa,kunywa mafunda madogo madogo
7.Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi.
​
 
#3 ndiyo itakayokufanya uitwe na siku nyingine
 
Back
Top Bottom