Pole sana mkuu! Usikate tamaa. Anza kwa kubadili mtazamo wako na kuamini kua baada ya Kwaresma, kutakua na mabadiliko (chanya) kwako! Si kitu rahisi na unahitaji kufanya maombi na kufunga pia. Yote yanawezekana kwani kwa kuteswa kwake; kufa na kufufuka, tumepata ukombozi! Barikiwa sana!Hili somo utadhani nimeandaliwa Mimi, linanigusa kila sehemu.
Ila dalili za mabadiliko sizioni, kwaresma inaweza kuniacha kama ilivyonikuta.
Pole sana mkuu! Usikate tamaa. Anza kwa kubadili mtazamo wako na kuamini kua baada ya Kwaresma, kutakua na mabadiliko (chanya) kwako! Si kitu rahisi na unahitaji kufanya maombi na kufunga pia. Yote yanawezekana kwani kwa kuteswa kwake; kufa na kufufuka, tumepata ukombozi! Barikiwa sana!
Umetumwa na kwangu ehhbi
KUPITA KIMYA HAUWEZI KAMA UNAJUA KUKAGUA SANA SIUFUNGUE DARASA LAKO HUMU NDANI