Nawatakia watanzania sikukuu njema

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
558
Amani ya nchi husimamiwa na uongozi mzuri wa viongozi wa dini tofauti.

kwa lilikotekea safari hii ya mwezi mtukufu wa ramadhani kwa ushirikiano wa dini zote na serikali nawapongeza watanzania muendelezo huo huo.
miaka ya nyuma sana wakati mimi bado mdogo na ufahamu wangu wazazi wangu waislam na rafiki mkubwa wa wazazi wangu walikuwa wakriato sasa siku kama ya leo sikukuu wote wa familia hiyo tunakua nyumbani kusheherekea sikukuu na inapokuwa krismas tunakuwa kwao.
nashangaa hivi karibuni sijui kuna mdudu gani alitaka kutuingilia watanzania.

yote kwa yote nawatakia sikukuu njema watanzania woote na dini zote
 
Back
Top Bottom