Nawatakia usiku mwema

Ebwana poa, nawe pia usiku mwema.

Hapa najiandaa kulog out ili nilale maana kuna ndoto moja niliianza jana. Leo ni muendelezo.
 
Ebwana poa, nawe pia usiku mwema.

Hapa najiandaa kulog out ili nilale maana kuna ndoto moja niliianza jana. Leo ni muendelezo.
Thanks mkuu na wewe,nakutakiwa usingizi mwema
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…