figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,349
- 54,345
nawatakia sherehe njema wazazi na watoto wanaofanya sherehe za kuhitimu kidato cha nne.nawakumbusha kwa wale watoto wanaohitimu msitumie sherehe hizi kufanya ngono na matendo maovu bali mtumie nafasi hii pekee kufikiria ni jinsi gani mtakabiliana na changamoto huko muendako.mimi kama figganigga nawapongeza kwa hiyo hatua mliofikia.mia