Nawatakia Ramadhan Kareem!

Nawatakia Ramadhan Kareem!

MzaramoTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
1,873
Reaction score
3,094
images (1).jpeg
images (2).jpeg
 
Nadhani Ki bakwata bakwata sio leo. Ni kesho. Ila hakuna mtu anaekukataza unaweza kuanza kufunga tangu juzi.

Oooh Owkay kumbe kibakwata bakwata nikajua Kiislam kama ni kibakwata sawa hata wakiamua kesho kutwa wafunge tu ila Kiislam watu wapo ndani ya Swaum. Alhamdulillah.
 
Huyu ni shuhuda mwengine Muislam ambaye mpaka kafikia kula kiapo sidhani kama ni kwa maslahi yake binafsi.
 

Attachments

Na hapa Chief Kadhi kampigia simu Kadhi Mkuu wa Mombasa lakini still Kadhi akatangaza kuwa mwezi haukuandama eti kwa kuwa tu kikao kilishafungwa.
 

Attachments

Amiin, Allah atujaalie mfungo mwema kwa wafungaji wote na atupokelee dua zetu pia atuwepesishie magumu yetu insha'Allah

Amin Yaa Rabbil A'alamiyn kwetu pamoja na vizazi vyetu kwa jumla na Waislam wote In Shaa Allah. Amin.
 
Back
Top Bottom